FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Formation ni 4-3-3
-Golini ni Ter Stegen. Baki wa kulia ni Montoya, Beki wa kushoto ni Jordi Alba, mabeki wa kati ni Mascherano na Gerald Pique.
-Katikati kiungo mkabaji ni Sergio Busquets, viungo wawili washambuliaji ni Andrea Iniesta na Rakitic.
-Washambuliaji ni kama kawaida MSN. Winga ya kushoto ni Neymar Jr, Winga ya Kulia ni Lionel Andres Messi 'The One', na mshambuliaje wa kati ni Luis Suarez!!!!!!
 
Back
Top Bottom