Hahaha....
Mkuu eti mlifungwa na kutolewa kwa kuwa mlichezewa sana rafu?
FT Barca 3-1 PSG
Congratulation Barca.....
Asante Suarez, asante Neymar, asante Mess na the whole crew ya Barca, asante Enrich
Hatukufungwa ila tulitolewa kwa mujibu Wa sheria...rekebisha kauli yako kwanza...
Tema mate juu...mkosi huo
Hatukufungwa ila tulitolewa kwa mujibu Wa sheria...rekebisha kauli yako kwanza...
Haya basi ngoja niandike mlitolewa kwa kufungana 1 - 1 , na baadaye 2 - 2...
Eti hiyo ni kwa kuwa jamaa wanapiga sana kiatu?
Maskini David Luiz anatia huruma anammiss sana pacha wake Silva
David Luiz amegeuka uchochoro wa Suarez, anageuzwa kama mdoli.
Baada ya kumuona tu Luiz anaenda kama mbadala wa Silva nilijua lazima wapigwe za kutosha
FT Barca 3-1 PSG
Congratulation Barca..... Asante Suarez, asante Neymar, asante Mess na the whole crew ya Barca, asante Enrich
FT Barca 3-1 PSG
Congratulation Barca.....
Asante Suarez, asante Neymar, asante Mess na the whole crew ya Barca, asante Enrich
Piga hao PSG wabaki huko huko France
Acheni kujitetea...
TIMU YA KWANZA KUFUZU NUSU FAINALI UEFA NI BARCELONA na Mungu asaidie bayern asitoke ili tulipe saba
Tuone mtafika wapi
Hatukufungwaaa,, 2-2... Ni sare.. Hawajui hata hili jamani
Unayesema tulifungwa nakucheki tu... 😎😉😕
Watu mi sikimbii swali bhana.....lkn hao PSG hawana mbinu Zaidi ya maguvu Na rafu tu.