FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ahsante everlenk tusubiri jumaanne ijayo pale kisimani camp nou pale ndo tunamaliza kichwa
 
psg walistahili kufungwa hata bao 5.....david luis leo alikuwa boya......wamestahili kpigo
 
Hatukufungwa ila tulitolewa kwa mujibu Wa sheria...rekebisha kauli yako kwanza...

Haya basi ngoja niandike mlitolewa kwa kufungana 1 - 1 , na baadaye 2 - 2...

Eti hiyo ni kwa kuwa jamaa wanapiga sana kiatu?
 
Haya basi ngoja niandike mlitolewa kwa kufungana 1 - 1 , na baadaye 2 - 2...

Eti hiyo ni kwa kuwa jamaa wanapiga sana kiatu?

Hahaha watu bhana...aya nimekusikia...ngoja waje Camp nou utawaona mambo yao.
 
Maskini David Luiz anatia huruma anammiss sana pacha wake Silva

David Luiz amegeuka uchochoro wa Suarez, anageuzwa kama mdoli.

Baada ya kumuona tu Luiz anaenda kama mbadala wa Silva nilijua lazima wapigwe za kutosha

Hivi si juzi tuu hapa mlikuwa mnamfagilia Luiz? Imekuwaje tena? David Luiz whether fit or not ni liability. Hata kama Silva angekuwepo, Luiz siyo beki yule.

FT Barca 3-1 PSG

Congratulation Barca..... Asante Suarez, asante Neymar, asante Mess na the whole crew ya Barca, asante Enrich

Hata huku Porto tumeua mtu. 3-1. *****. Ila Suarez dah!! Kama kula watu kunafanya uwe top striker bora tuu Falcao amng'ate Ivanovic mech ijayo.
 
Heheh sare ya jeshi au ya wapishi...

Eti mlitolewa kwa kuwa mlipigwa sana kiatu?

Naona Ntuzu anakimbia swali la msingi ambalo linatokana na utetezi wa Viol

Hatukufungwaaa,, 2-2... Ni sare.. Hawajui hata hili jamani

Unayesema tulifungwa nakucheki tu... 😎😉😕
 
Last edited by a moderator:
. Ila Suarez dah!! Kama kula watu kuaafanya uwe top striker bora tuu Falcao amng'ate Ivanovic mech ijayo.

Hahahahaaa EMT bhana....Falcao hawezi ila huyo Zombi Suarez anaweza sn...alimtia jino mpk beki Wa Italy.....
 
Last edited by a moderator:
Hatukufungwaaa,, 2-2... Ni sare.. Hawajui hata hili jamani

Unayesema tulifungwa nakucheki tu... 😎😉😕

-ukihesabu goli la ugenini ni 2 kwa 3, kwahiyo mmetolewa kwa goli la ugenini.
 
Heheh sare ya jeshi au ya wapishi...

Eti mlitolewa kwa kuwa mlipigwa sana kiatu?

Naona Ntuzu anakimbia swali la msingi ambalo linatokana na utetezi wa Viol

Watu mi sikimbii swali bhana.....lkn hao PSG hawana mbinu Zaidi ya maguvu Na rafu tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom