mimi naomba tukutane na juve
everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8
hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​
Hahah...labda utakua ulipatwa na njozi mbaya za magoli ya Bayern
Be careful what you wish for Bwa mdogo!!!!
hahahahahaaaaaaa hamna kitu juve
everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8
hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​
Kwangu tukutane na Juve