-Bayern hawataweza kutupiga kama misimu miwili iliyopita walivyotufanya.
-Tunapaswa kuwa na matokeo mazuri zaidi ili kujilinda huko kwao.
-Na safari hii tunawang'oa
1. Timu haina majeruhi kama kipindi cha nyuma, na ikitokea majeruhi basi wanaoziba nafasi wapo. kipindi kile Messi alikuwa majeruhi japokuwa alilazimishwa kucheza, Beki pia zilikuwa majeruhi na Xavi ndo alianza kuchoka. Msimu huu tupo fiti.
2. Bayern ipo chini ya Pep Guardiola, Guardiola hana mbinu za kumchapa Barca pia Guardiola huwa ni kugeugeu sana ktk mifumo yake, Game yao majuzi tu hapa amebadili mfumo na timu ikawa inacheza kama ilivyokuwa chini ya Heynkess.
3. Munich wana majeruhi mengi, Porto wajinga sana kama Atletico Madrid, pamoja kuwa na majeruhi mengi kwa Real Madrid wakashindwa kuwatoa, ndivyo hivyo hata kwa Porto tena bora ya Porto walipata ushindi kwao ila kwenda German wakapata wenge. Sasa FC Barcelona haitafanya makosa ya kuwachekea hawa Bayern. Ribery, Robben, Bastian n.k wote hawa ni majeruhi ila wataingiingizwa ili kuleta ushindani tuu na kwa uzoefu, na kama mnavyojua mchezaji ambae umri umeenda kisha akawa majeruhi na akarudi uwanjani jinsi anavyokuwa.
4. Hapa atajaza
chebi
5. Kipenzi
everlenk harafu nimekumiss sanaaaaa!!!
6.
MO11
7. Anyone