Kama huna wachezaji wazuri hata uchukue Guadiola na nusu utapigwa tu.Pep kumtoa city sio rahisi kama una nunua malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli umekaza kalio
Nilipata kujificha kwenye kichaka cha Barca ila walichofanywa afadhali ya Sisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mwamba Ollachuga Oc kapigwa 15. Jamaa ana balaa kubwa
Pep mwenyewe huko kala 3 yaani [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pep kumtoa city sio rahisi kama una nunua malaya
Ana hofu akienda timu nyingine itakuwaje. Maana barca imejengwa around messi.Messi nae ifike wakati aondoke barca ili timu ianze kujengwa upya
Kwanini tusikubali tu hakuna wachezaji wa zuri kwa sasa na itatuchukua 5years kuwa tena timu tishio kama tutakua siriazi.
Tatizo sio messi ni defence....messi itachukua miongo mingi aje kutokea mtu wa mfano wake hapa duniani huo ndio ukweli...usimchukulie poa au eti kisa tu mechi ile timu imepoteza? Ingie youtube tazama kazi alizofanya messihata msimu huu tu alafu uone utamlinganisha na paka gani hapa duniani?Kuna wakati walikuwa wanasema Messi ni mtu kutoka sayari nyingine, najiuliza hiyo sayari aliyotokea bado ipo au ilipigwa na kimondo ikasambaratika?!
Binadamu aisee Cjui kwanini watu wanamchukia messi ili hali wanajua fika kua yeye ndiye the best ever
Kwenye mechi ya juzi alifunga ngapi??Tatizo sio messi ni defence....messi itachukua miongo mingi aje kutokea mtu wa mfano wake hapa duniani huo ndio ukweli...usimchukulie poa au eti kisa tu mechi ile timu imepoteza? Ingie youtube tazama kazi alizofanya messihata msimu huu tu alafu uone utamlinganisha na paka gani hapa duniani?
Binadamu aisee Cjui kwanini watu wanamchukia messi ili hali wanajua fika kua yeye ndiye the best ever
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe,kwa consistency ya uwezo wa messi ni wazi kuwa watu wanasubirii akosee ndo wamkosoe (mijitu ya ronaldo) yaani kiufupi ni wivu tu kwakua huchukua mda mpk kuja kumkosoa!
ila kwa ile mechiii ni ngumu kumtegemea MTU mmoja abebe team!!