ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mimi naamini kabisa shida ya Barca kabla ya makocha na wachezaji ipo kwa huyu Bartomeou, jamaa hajui kabisa kuendesha timu.
Tatizo kubwa la Barca lilikuwa ni kocha hata kabla ya wachezaji, kwa yanayoendelea naona kibarua cha Zidane kikifikia ukingoni.
Kweli dunia inaenda kasi[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo kubwa la Barca lilikuwa ni kocha hata kabla ya wachezaji, kwa yanayoendelea naona kibarua cha Zidane kikifikia ukingoni.
Zidane anahusika vipi hapa? [emoji28][emoji28]. Hii sherehe ya nane nane inaleta wazimuTatizo kubwa la Barca lilikuwa ni kocha hata kabla ya wachezaji, kwa yanayoendelea naona kibarua cha Zidane kikifikia ukingoni.
Duu mashabiki wa barca mnazinguaTatizo kubwa la Barca lilikuwa ni kocha hata kabla ya wachezaji, kwa yanayoendelea naona kibarua cha Zidane kikifikia ukingoni.
Usipokuwa na akili ya kutosha hutaelewaZidane anahusika vipi hapa? [emoji28][emoji28]. Hii sherehe ya nane nane inaleta wazimu
Bangi ndio inakufanya usielewe. Hoja yangu ni kuwa Barça wamepata kocha mzuri wa kubeba vikombe hivyo kuvunja utawala wa Madrid. Hizi akili zako za MEMKWA usiwe unazileta huku.Zidane sio kocha wa Barcelona, au umevuta bangi.
Bangi ndio inakufanya usielewe. Hoja yangu ni kuwa Barça wamepata kocha mzuri wa kubeba vikombe hivyo kuvunja utawala wa Madrid. Hizi akili zako za MEMKWA usiwe unazileta huku.
Madai yako umetumia akili sana kuandika huu upupu. Mliefukuza pia mlikua na hizi mboyoyo matokeo yake mmekula 8.Usipokuwa na akili ya kutosha hutaelewa
Kama kitu kidogo vile huelewi, basi sisi hatuna cha zaidi tunaweza kukusaidiaMadai yako umetumia akili sana kuandika huu upupu. Mliefukuza pia mlikua na hizi mboyoyo matokeo yake mmekula 8.
Ndio maana mkurugenzi Abidal ametimuliwaTimu kubwa lakini ni kama vipofu wa kuona vipaji...timu iliyotolewa na Psg juzi walikua nabeki mmoja black hivi mzuri sana...na hata hawa bayern huyu beki yao manywele Daves yupo vizuri sana
Huwa najiuliza hapa kwetu ni nani wanafanya scouting ya namba mpya?huwa hawaoni wachezaji kweli?tatizo lipo wapi?hata kamavtunasumbuka kupata sign ya mtu kama Neymar jr si waende hata atalanta kuna madogo watamu sana mule