FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Timu kubwa lakini ni kama vipofu wa kuona vipaji...timu iliyotolewa na Psg juzi walikua nabeki mmoja black hivi mzuri sana...na hata hawa bayern huyu beki yao manywele Daves yupo vizuri sana
Huwa najiuliza hapa kwetu ni nani wanafanya scouting ya namba mpya?huwa hawaoni wachezaji kweli?tatizo lipo wapi?hata kamavtunasumbuka kupata sign ya mtu kama Neymar jr si waende hata atalanta kuna madogo watamu sana mule
 
IMG_3225.jpg
 
Tatizo kubwa la Barca lilikuwa ni kocha hata kabla ya wachezaji, kwa yanayoendelea naona kibarua cha Zidane kikifikia ukingoni.
 
Zidane anahusika vipi hapa? [emoji28][emoji28]. Hii sherehe ya nane nane inaleta wazimu
 
Zidane sio kocha wa Barcelona, au umevuta bangi.
Bangi ndio inakufanya usielewe. Hoja yangu ni kuwa Barça wamepata kocha mzuri wa kubeba vikombe hivyo kuvunja utawala wa Madrid. Hizi akili zako za MEMKWA usiwe unazileta huku.
 
Labda abebe vikombe vya chai
 
Timu kubwa lakini ni kama vipofu wa kuona vipaji...timu iliyotolewa na Psg juzi walikua nabeki mmoja black hivi mzuri sana...na hata hawa bayern huyu beki yao manywele Daves yupo vizuri sana
Huwa najiuliza hapa kwetu ni nani wanafanya scouting ya namba mpya?huwa hawaoni wachezaji kweli?tatizo lipo wapi?hata kamavtunasumbuka kupata sign ya mtu kama Neymar jr si waende hata atalanta kuna madogo watamu sana mule
Ndio maana mkurugenzi Abidal ametimuliwa
 
Siku nitakayosikia Rakitic, Suarez, Pique wamesepa ndio nitaamni kuna mabadiliko ya kweli lakini sio blabla bila kumsahau Bartomeu
 
Back
Top Bottom