FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tunahitaji kuondoa damu ya zamani Barca.

Tuondoe Pique, Busquets, Alba, Vidal, Suarez n.k

Tunaweza tukakaza moyo hata Messi kumruhusu aende ili tusuke timu mpya kabisa.

Kikubwa ni kuwa na uvumilivu.

Barca yenye damu changa na katikati akawepo Arthur Coutinho na De Jong ni moto mwingine.
 
Arthur kasha sepa .couthin nae ni swala la mda tu
 
Tutabakia na Barca yetu japo bado tutakua timu Messi.....ila inasikitisha huenda ndio anaenda kujimaliza sasa,tofauti na kama angesalia kikosini
 
I

Arthur kashatimkia juve, pale kaja pjanic...

Hii ni moja ya sajili ya hovyo kabisa.
 
Arthur!?
😂😂😂😂😂
Unaishi kwenye mapango gani mkongwe?
Amboni au Kondoa?
 
Tutabakia na Barca yetu japo bado tutakua timu Messi.....ila inasikitisha huenda ndio anaenda kujimaliza sasa,tofauti na kama angesalia kikosini
😂😂😂😂
Unamzungumzia Messi kama vile ni mchezaji ambaye yupo katika peak yake, Messi kwa sasa ana miaka 33 ndugu.
Muache mzee wa watu akamalizie soka lake mbele kwa mbele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamzungumzia Messi kama vile ni mchezaji ambaye yupo katika peak yake, Messi kwa sasa ana miaka 33 ndugu.
Muache mzee wa watu akamalizie soka lake mbele kwa mbele.
Pamoja na umri huo mbona bado anasumbua?mchezaji anaeongoza kwa assist huo uzee weka pembeni
 
Pamoja na umri huo mbona bado anasumbua?mchezaji anaeongoza kwa assist huo uzee weka pembeni
Messi anaenda Man City naona jinsi tu mfumo wa Guardiola utakavyomfaa
TikiTaka tactics na false 9 pale katikati
Mpira wa kuattack 90 mins anauweza na jinsi mabeki wa England wanavyocheza open play watapitwa Kama milingoti
 
Habari ya leo jtano inaelezwa shida pale ni bartomeu baada ya messi kuelezea uozo uliopo imeonekana shida ipo kwenye management na hasa rais bartomeu
Shinikizo lilivyopanda la kumtaka rais ku resign...limemsukuma bartomeu kuweka presha ya messi aondoke kuliko kusalia pale
Kwa mujibu wa technical director leo bado barcelona internally wanafanya kila liwezekanalo kumsihi messi asalie klabunh huko mitaani vuguvugu la kumtaka rais ajiuzuru likiendelea
 
Pamoja na umri huo mbona bado anasumbua?mchezaji anaeongoza kwa assist huo uzee weka pembeni
Simaanishi kiwango cha Messi kimeshuka sana, ila ninamaanisha hata kama Messi akihama na kwenda kuflop huko atakapoenda haiwezi kuwa habari ya kushangaza, kwa umri wake haitoshangaza kama atakujakushuka kiwango popote atakapoenda, pia hayupo tena kwenye peak yake, kwahiyo kushuka kiwango ni kitu kinachotegemewa, ni suala la muda tu.
 
Mafans wa mpira Kama kuna kitu ambacho kitatuhunisha ni kuona Messi akiacha kucheza soka.
Amefanya mambo makubwa sana inashangaza
 
Father time is unbeatable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…