FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Zama zinaenda kasi sana, leo hii mchezaji mzee wa man city anaenda kucheza first eleven Barcelona.....

mara Wijnaldum mzee wa liverpool anaenda ingia Barcelona anaenda ungana na maveteran wenzake kina Aguero,Pique, Messi, Sergio busquets etc hii sio rebuild hii inaonesha rebuild imefeli hivyo mnatafuta immediate fix

Mlishindwa kujipanga na kufanya recruitment nzuri La masia
 
Aise kweli hii imenishangaza Sana ..Barca ilikuwa tishio kwa kuinua vipaji eti leo na wao wanasajili used players [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli hii Barca ndo inaenda kufa taratibu itakuwa Kama AC Milan
 
Wanasikitisha, kipindi wapo moto mtu kama sergio busquets angekuwa tayari amepata mrithi wake na anatafuta timu,.........inbidi wawekeze sana kwenye academy maana hata kwenye kununua top players kwa pesa nyingi wamefeli hivi karibuni ukirefer Coutinho na dembele....

Misingi mizuri ya La masia ikifufuliwa na Laporta ndio barca watarudi maana wachezaji wengi wanashindwa kuendana nao.
 
Kweli kabisa inabidi wawekeze zaidi academy.

Lakini kwa coutinho walibugi step, for now mshkaji anakula mshahara tu.

Kwa dembele hawajakosea, ni mzuri sana kuliko hata neymar sema nafasi nyingi anapoteza huyu othman, na pia mchoyo kwa pasi hata kama mchezaji yuko karibu yake na anafasi nzuri ya kufunga n.k hatoi.. vile vile kinachomwandama ni injuries za mara kwa mara...All in All Dembele abaki na Coutinho atolewe.
 
pia Mousa dembele anapenda sana starehe kiasi kwamba anadanganya anaumwa doctor wa timu akamluta anaparty na mashkaji......

Pia mfumo wa barca unamsumbua kiasi kwa maana alizoea sana dribbling ila barca wanacheza close passing
 
Ni Othman Dembele
 
Kun sguero ana uzee gani?si ni sawa tu na rika la suarez ambaye amekua na wakati mzuri tu hapo atretico
 
Long time no see cules!

Naiona project mpya hapo camp Nou, inaleta matumaini. Eric Garcia, Ronald Araujo, Oscar Mingueza, Sergino Dest pamoja na Emmerson, wanaweza kua solution kwa matatizo ya defence tuliyokua nayo.

Upande wa midfield, Frankie De jong anazidi kukomaa na Pedri Gonzalez anazidi kuimarika. Upande mwingine, Professor Ricard Puig na Trincao, bado ni promising young talents japo hawapati muda wa kucheza.

Kule mbele, naona Dembele ameanza kuamka japo majeruhi bado ni tishio kwake. The whole universe knows who Ansu Fati is, tunamuombea quick recovery. Alaix Moriba pia hayuko nyuma, he's showing much potential in the future.

Mpaka kufikia hapo, hiyo list imekosa mtu mmoja pekee, "world class striker". Tukimpata huyo, nadhani resources za project zitakua zimekamilika. Kazi itabaki kwa mwalimu kuwaamini vijana na kuwapa nafasi.

Kazi itatabaki kwa viongozi wa timu na mashabiki kutulia na kukipa muda kikosi kiimarike. Tumezoea ushindi na mataji, ndio maana presha inakua kubwa sana kwa team sababu ya expectations. Hata hizi sajili za akina Aguero ni presha tu ya kutaka mafanikio ya haraka.

Mi nadhani next season, Busquets awe mtu wa kupumzika, Alba amekiwasha sana msimu huu, ila anahitaji kuwapa nafasi vijana. Nadhani wazee pekee wa kuanza wawe Messi, Griezman na Stergen.hawa wengine wawe substitutes tu. Huwezi kujenga kikosi kipya ikiwa bado unawategemea na kuwapa nafasi zaidi wachezaji wa zamani.

Haya yakifanyika, tunaweza tusishinde vikombe, ila kufikia mwisho wa msimu tutakua tumejenga kikosi cha kupambana Ulaya.

Swali linabaki, does Koeman has what it takes to see this project through?

Adios Amigos!
 
Back
Top Bottom