FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Woyooooo
 
Mapema sana hii, huwez ukatamka maneno kama hayo kwa kuangalia tumechi tuwili tatu subir ligi iishe ndio unene hayo maneno so far jana Barca waliwazid sana Madrid
 
Gazetti la El Mundo linadai kwamba wataalam wa soka walishasema Tiki taka imepitwa na wakati-ajabu ni kwamba Xavi ameirudisha to a devastating effect- Gazetti limeendelea kudai Tiki taka kwa sasa inachezwa na back na midfielders wa Barca tu sasa punde Tikitaka ikifika kwa strikers itakuwa taabu maana watakuwa wanaingia na mpira ndani ya goal
 
Leo saa 5 usiku sa ya Tanzania-inachezwa match ya Classico ya wanawake kombe la UEFA.Barcelona females watakuwa ugenini.Madrid females hawategemei kushinda sababu akina dada WA Barcelona hawajafungwa match 34.
Barca TV leo imemuonyesha Traore akipewa darasa maalum na Xavi-wakitumia stimulator ameelekezwa jinsi anavyoweza kuwa occupy defenders wawili so that other strikers are free-positioning yake ni muhimu ili maestro Busquets aweze kuspray mipira kulia kama anavyofanya kushoto
 
Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
 
Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
Barca wanakwambia hivi kama itawabidi kuuza wachezaji watauza lakini La masia graduate hawauzwi."they are the future for the club".Ndo maana kina Traore wanarudi mpaka Alcantra walikuwa wanamtaka.
 
Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
Ansu hata akiwa sawa leo anaanza first 11 regardless ya kwamba anacheza vipi
 
Uzuri wa Ansu when full fit anatupia.

Mtashangaa mechi yake ya kwanza tu baada ya majeruhi lazima atupie.
 
Tukatae/tukubali Barca kuna clear out kubwa inakuja-Laporte hataki kufanya kosa
Braithwate, Luuk de Jong, Sergi Roberto, Umtiti, Clement Lenglet, na hata Depay. We need to balance the books, and money for one prolific striker!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…