FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nilitoa hii comment miaka 4 na nusu nyuma. Ilikua 2017 Kipindi Neymar ameondoka kila mda zilikua ni roumors za mara dembele mara Coutinho mara Verati. Kama shabiki wa Blugrana ikabidi nijitulize kwa kutoa mtazamo wangu juu ya Barca ilivyokua inaendeshwa kipindi kile.

Looking at it now, nabaki kucheka ilikuaje nikajipinda kuandika hivi [emoji23][emoji23][emoji23]

Forever a Blugrana. Viva El Barça
 
Le Equip-gazzet linaandika hawa Seville leo watacheza 11 nyuma ya mpira na kuvizia counter attack-limemshauri Xavi wing moja Traore,wing ingine Dembele ili watu wauane hapo kati
 
Le Equip-gazzet linaandika hawa Seville leo watacheza 11 nyuma ya mpira na kuvizia counter attack-limemshauri Xavi wing moja Traore,wing ingine Dembele ili watu wauane hapo kati
It's gonna be a tough game but victory is a must
 
mwekundu na kana bado wamepotea?
Umesababisha nifukue ID yangu ambayo nilikua nimeanza kuisahau. I'm always here, cause I can't be anywhere else!

Ujumbe wangu ni mfupi tu, "waliosema hainyeshi, sasa wanakimbia mafuriko".

I love Leonel Messi, ila nilisupport kuondoka kwake. We're now playing like a team. Tumepata nafasi ya kujenga team upya, na sasa matunda yameanza kuonekana. We're back to being a threat to each and everyone of our opponents.

Yule mtoto Araujo, hakuna anaeweza kumpita one on one, he's such a beast. Huwa nawaza yule De light ndio angekua pale anapair na Araujo, sijui hali ingekua vipi. Pale kati kati unamkuta mtoto Pedri. Kwa sasa ukitaja wachezaji bora duniani watano alafu ukamuacha Pedri, nitakushangaa. That kid is brilliant!

Dembele akiamua kuondoka Barca basi atakua mwehu. System imemkubali, na kiwango chake kimemkubali pia. Anaupiga mwingi sana. Amerudisha makali kwenye wings zetu, angalau sasa tunaweza kusema pengo la Neymar limeanza kuzibika.

Otherwise, tunatest mitambo tu sasa hivi. Acha tuchukue Europa then tukutane msimu ujao. Watajua hawajui!


Mes que un club!
 
Hawa Frankfurt United leo inatakiwa wafungwe tena in style.
Gazzeti la Le Equippe limesema-Barca toka irudishe Tikitaka imeupiga mwingi-limeshauri watafute wachezaji sio kwa ustar bali kwa uwezo wa kumudu tikitaka. Limedai uwezo wa Xavi unaweza kumfanya mchezaji yoyote mwenye dna ya tikitaka kuwa mzuri Barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…