FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji23][emoji23]
IMG-20220913-WA0134.jpg
 
Sure mkuu sema Dembele anatakiwa ku improve kwenye targeting tu,mengine yote perfect, i think raphinha is good in this.Stegen kwa sasa ame gain confindence na ana perform kwa sababu backline ya sasa haina blunders kuongezeka kwa kounde kumeleta uhai sana kwenye backline,Garcia nae yupo kwenye form nzuri kwa sasa,ngoja tuone kwa hizi fullbacks signings(bellerin +alonso).
Dembele anapoteza mipira sana...Fuatilia zile threats/counter za Sevilla/Cadiz...Nyingi ni matokeo ya dembele kupoteza mpira kipuuzi katikati ya uwanja
 
Dembele anapoteza mipira sana...Fuatilia zile threats/counter za Sevilla/Cadiz...Nyingi ni matokeo ya dembele kupoteza mpira kipuuzi katikati ya uwanja
Wanaita kutake risks... Zikifanikiwa ndio hivyo tunaona raha. Zikifeli [emoji1787][emoji1787]
 
Blaugrana mpo tayari?, Leo lazima kuwe na msiba aidha blaugrana au Bavarians, naamini Leo hakuna suluhu ni magoli tu siyo!.
 
Wanaita kutake risks... Zikifanikiwa ndio hivyo tunaona raha. Zikifeli [emoji1787][emoji1787]
Sasa awe anaangalia sehemu ya kupotezea mpira...Sio yupo kwenye nusu yake halafu kuna space nyingi za opposition kukimbia kufanya counter halafu yeye anapoteza mpira kijinga.
 
Dembele anapoteza mipira sana...Fuatilia zile threats/counter za Sevilla/Cadiz...Nyingi ni matokeo ya dembele kupoteza mpira kipuuzi katikati ya uwanja
But how many times? I thinks he lack some defensive skills lakini hayo madhaifu ni mara chache mno.But ana msaada pia defensively/pressing,mfano mzuri ile tackling aliyoifanya kwa player wa Plizen akapora mpira then aka mu assist Lewandowski. Dembele wa Xavi ame develop sana ndio wide playmaker wa team/creative winger kwa sasa.
 
Dembele anapoteza mipira sana...Fuatilia zile threats/counter za Sevilla/Cadiz...Nyingi ni matokeo ya dembele kupoteza mpira kipuuzi katikati ya uwanja
Lbd nikwambie tu hkn mchezaj anaongoza kwa kupoteza mpr Dunian kama Messi lkn as long as output yake ni kubwa anakua na watu wa kufanya cover za iyo mpr anayopoteza.. Ww usifir Xavi haoni stats kua Dembele anapoteza sana mpr anajua vzr sana lkn Dembele kwa ss kwny kikosi hiki cha Barca ni mchezaj muhm lbd kuliko yoyote yy na lewa na partnership yao imeclick.. Kwhy Dembele kutake risk anachofny ataendelea na Xavi yuko ok kbs na hcho na ndo maana kuna watu wa kucover izo lose balls anapoteza na on top of that Dembele mwnyw kama unaangalia mpr anafanya track backs sana rejea Game ya Uefa iliyopita na Victoria.
 
Back
Top Bottom