FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sasa awe anaangalia sehemu ya kupotezea mpira...Sio yupo kwenye nusu yake halafu kuna space nyingi za opposition kukimbia kufanya counter halafu yeye anapoteza mpira kijinga.
Bila majaribio hakuna kutengeneza, ndio anapoteza hata 45' kapoteza kama mara 3 hivi. Lkn hakuna namna lazima kubreak defence
 
Mnachukua matakataka Chelsea rejects kama Christiansen na Alonso halafu mnajiona Uefa title contender ,ngoja kipindi cha pili muone mnavyopelekewa Moto
 
Mnachukua matakataka Chelsea rejects kama Christiansen na Alonso halafu mnajiona Uefa title contender ,ngoja kipindi cha pili muone mnavyopelekewa Moto
Hahaa mmepelekewa Moto mpaka mmekoma , niliwabia hapa ,nyie ni takataka Tu mbele ya wanaume WA kaz Bayern
 
Hii timu ina laana
IMG-20220914-WA0065.jpg
 
Nashindwa kuelewa tumefungwaje hii game
Mpira sometimes una matikeo ya kikatili sana hasa kwenye hii tournament (UEFA),usipokuwa clinical golini kwa mpinzani opponent atapata chance atakuazibu ndo kilichotokea jana.Team played well ni lack of composure + kuwa clinical kule mbele.Bayern anafungika hope tunaweza kupata matokeo camp nou.Visca barca...
 
Back
Top Bottom