FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
 
Tuko na mechi muhimu sana UEFA jumatano, ndio maana team haikutumia nguvu sana game ya jana. Pia Celta sio wachovu.

Cha msingi ni kwamba tulipata point tatu muhimu!
 
Hii mechi ya jumatano ni do or die asee![emoji119]nafikiri hii ndo itakuwa our season match.Failure to win in this match ni direct to Europa,i pray isitokee tena hii,ni bora tubaki na ligi tu kuliko kwenda Europa, its shameful & wastage of time!.
 
Kazi mnayo
 
Attachments

  • Screenshot_20221012-231621_Chrome.jpg
    Screenshot_20221012-231621_Chrome.jpg
    47.9 KB · Views: 10
Back
Top Bottom