FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama inter anakwenda camp nou anajipigia je buyèrn munchen aje awafanyeje umbwa nyie. Futuhi ueropa inawqhusu tena
Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou
 
BARCE NYETO!
Wazee wa kilainishi[emoji38]
JamiiForums14192455.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou
Bayern ipi unaiongelea hii hii bayern ya akina Leroy sane, sadio mane na akina Musila. Emu ngoja wajerumani waje hapo camp nou kuwapaka kilainishi mwende futuhi.
 
Back
Top Bottom