FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hapo sasa ndo mtajua hamjui mnasajili kama yanga beki kule nyuma imekuwa tenga la nyanya matundu mengi aseee mwaka huu mtaloweshwa sana magoli
Mechi ya jana imeisha 3:0 na Kounde alikuwa beast, ni vile tu Araujo aliumia mechi zilizopita,sidhani kama inter na madrid wangetufunga kirahisi.
 
Nyie barcenyeto wazee wa uropa mnaiaibisha bendera ya Spain waja laana nyie Leo ndyo mtajua hyo tuzo govi gavi alipataje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Musiala hat trick [emoji91][emoji91][emoji91]
Naona nyie jana mliiwakilisha vyema bendera ya Spain kwa Leizpig!


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Barcenyeto mnacheza ili iweje sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mnamsajili Lewandowski,raphina kuja kucheza uropa laana ya kuiba wachezaji kwa cheltako inawatafuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…