Tangu upigwe nne na man city kazi yako imekuwa kubadilisha majina na kujipitishapitisha kwa wanaume huku unakitingisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]barcenyeto wamekimbia uzi
uzi wa ugenini vipi ?Pata uzi mpya wa Barcelona
Tsh 22,000/=
View attachment 2653561
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;Usajili vipi mazee? Tunamchukua nani?
Nimeona Xavi anasema anahitaji vijana watatu, akiwemo midfielder wa nguvu.. Namtamani sana Bernado Silva
Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;
√ Defensive Midifilder
√Attacking Midfielder
√ Striker
√Right back
Nafasi ya DM( Xavi anamtaka Zubimendi au Kimmich( Dili ngumu sana hizi) ngoja tusubiri.)
Attacking Midfielder( Xavi anamtaka Gundogan for free( Uamuzi upo kwa Gundo mwenyewe)
Striker ( inasemekana dogo kutoka palmeiras Vitor roque).
Bernado silva kumpata kwa sasa ni ngumu Bado La liga FFP inatubana sana ,Gundogan ndio tunaweza kumpata kwa free kama ataamua kuja.Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.
Naona kuna Joshua Kimmich pia dizain kama anaitamani Barca!Bernado silva kumpata kwa sasa ni ngumu Bado La liga FFP inatubana sana ,Gundogan ndio tunaweza kumpata kwa free kama ataamua kuja.
Huyo kuja ndo kabisaa tusahau Bayern hawawezi mtoa kirahisi,Zubimendi nae dili limeshakuwa gumu.Kwa Sasa Deco amewa scout Joao palhinha (Fulham) na Florentino Luis( Benfica),tunahitaji sana DM kwa sasa.Naona kuna Joshua Kimmich pia dizain kama anaitamani Barca!
Tusamehe mkuu. Sisi tunafuatilia output yao uwanjani, sio output yao chooni. Tusamehe sana mkuu!
Umemjibu kitaalamu sana[emoji28]Tusamehe mkuu. Sisi tunafuatilia output yao uwanjani, sio output yao chooni. Tusamehe sana mkuu!
[emoji28][emoji28]
We mean business when it matters!View attachment 2700245
Nyie kenge barcenyeto mnapigwa mpka na arsenyeto
Tunawaomba robo fainali Uefa ndo utajua arsenal hawajawahi kuwa seriousView attachment 2700245
Nyie kenge barcenyeto mnapigwa mpka na arsenyeto
Gavi mzee, Pedri mzee, Fati mzee, Ferran mzee, Araujo mzee, Dest mzee, Dembele mzee, Kounde mzee, Balde mzee, De Jong mzee.Nyie vitungu,, zama zenu zinaenda mwisho, subilini vipigo tu msimu hu na wale wazee wenu