Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Blaugranas[emoji837][emoji838]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tunaendelea kugawa vipigo kwa wapinzani wetu.Mmepoa umu ndani
Noma aloooh...Tupo tunaendelea kugawa vipigo kwa wapinzani wetu.
Leo celta walitaka kutuaibisha ila chuma mbili za Lewa na moja kutoka kwa Cancelo zilitosha kutupa point 3 kibindoni.
Vamos Barca.
Game ilichangamka sana.Noma aloooh...
unataka team ishinde kilasiku[emoji28]Barcenyeto mnazingua[emoji36]
Si ni mambo mnafanya kitambo sana??Wazee vipi kashfa ya kuhonga marefa...
Jana header yake imetusaidia kuondoka na point tatu kibindoni.Hizi mechi nyengine(sevilla) ni kubwa sana kwa lamine yamal.
Physicality
Una ushahidi?Si ni mambo mnafanya kitambo sana??
Ndio game yake hivi ulimuona Gavi alivyokamata dimba yeye na Gundo?. Yan kam game ingekua sare au Barca win huyo ndo angejua MOTM.Next tym tell gavi acheze mpira sio mechi nzima anafanya marking ya mtu mmoja vin jr kumbe anapoteza concentrationya game. Poor barca inatumia mbinu za Morinho na nemanja matic. Gavi alipaswa kucheza kama Valverde box to box
Alipo ingia maestro luca modric habari ikabadilika kabisa.Ndio game yake hivi ulimuona Gavi alivyokamata dimba yeye na Gundo?. Yan kam game ingekua sare au Barca win huyo ndo angejua MOTM.
Duh yan team kufungwa na Madrid ishakuwa mburukenge? Unaifuatilia Barca mkuu If not ,endelea na Chelsea tu mzee!Hii timu ishakuwa ya mburukenge kama Chelsea tu ,nishaacha kuingia humu miaka 3 sasa , timu zangu pendwa zote vibonde ,Chelsea kilaza na hii Barcelona kilaza ,Aisee