Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Blaugranas[emoji838][emoji837]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na leo wamegongwa 4 tena.Hili genge tangu lizibuliwe 4-0 Anfield pale limejifia rasmi
Team Kwa sasa haina fowards wa kueleweka +kocha nae mpumbavu!.Daah inatia hasira sana asee!.Barca sikuizi imekuwa loughing stock,hatutushi tena in Europe!.Kwema Blaugranas?
Tumekua vichekesho sana miaka ya hivi karibuni, but slowly naona tunaanza kurudi. Sina imani sana na Xavi, ila kikosi kinahitaji kama three world class entries ili tukamilike.
Wing ya kushoto bado ni tatizo, Joao Felix naona kama ameshindwa kufikia matarajio tuliyokua nayo kwake. Lewandoski is totally a failure. Anapoteza chances nyingi, na pia involvement yake kwenye team ni ndogo sana. Kwenye midfield, pengo la Busquets bado linatutesa. We need a good defensive midfielder.
Our defence is fine. Ni vile tu wanakua exposed sana kutokana na mapengo ya pale katikati.
I really trust La Porta. Naamini kuna vitu kadhaa atafanya kuikoa team, despite the financial crisis. Jirani yetu huko gari lake linawaka poa, akimpata na Mbappe ndio basi tena. Tutaishi kwa tabu sana!
VISCA BARCA!
Kocha mpumbavu tenaaaaa????? Nyie jamaa last time mmevuka group stage lini??? Mpeni maua yake XAVI ama sivyo msingekuwa mnaenda kwenye mabanda kucheki game zenu.Team Kwa sasa haina fowards wa kueleweka +kocha nae mpumbavu!.Daah inatia hasira sana asee!.Barca sikuizi imekuwa loughing stock,hatutushi tena in Europe!.
Team kufanya signings tu za maana imekuwa shida ,achilia mbali ku register wachezaji,how can we compete!!.Kikosi kilichopo kwa sasa kina potential sana ,players tunao hasa kwenye midfield na defence.
N.B Tunahitaji
✓Top winger
✓Top defensive midfielder
✓Top coach(Xavi still unexperienced to coach this Barca team)
Leo mmepigwa 5 na Villa Real [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumewanyanyasa kijinsia jana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barcenyeto kikundi cha wahuni matapeli
Hii ndio tafsiri ya corporal punishmentGENGE LA WAHUNI
View attachment 2885547
Yaani hata kuangalia hii team inatia kinyaaTunataabika sana asee. Sasa Xavi anaondoka mwisho wa msimu huu. The question is who's gonna replace him?
KlopTunataabika sana asee. Sasa Xavi anaondoka mwisho wa msimu huu. The question is who's gonna replace him?