FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Blaugranas![emoji838][emoji837]Dah tumepoa sana humu asee! Naona chama linazidi songa licha ya injuries za key players still we move! Group stage tumeshatoboa.

#Next stop El classico[emoji91]
Visca El barca
Hakuna Blaugranas humu, asilimia kubwa ni shabiki wa Mess, wamehamia ligi ya US huko
 
20231108_001921.jpg


Lamine Yamal jana kaweka historia nyingine katika klabu ya Barcelona. Anakuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kupoteza game ya UCL.
 
Girona wanapiga mpira ambao ni hatari sana. Jana Barcelona ni kama vile alikuwa anapewa somo dah. Girona mpaka sasa wanaongoza league.
 
Huu uzi ubadilishwe jina uitwe Inter Miami fc, maana Barca haina mashabiki, messi ndio alikua na mashabiki
 
Huu uzi ubadilishwe jina uitwe Inter Miami fc, maana Barca haina mashabiki, messi ndio alikua na mashabiki
champions league glory tu ndo watu walikua wanafata ,tuliobaki ni loyal fans tu!.Barca na Madrid watu wanazifuata Kwa ajili ya UEFA tu!
 
Back
Top Bottom