Leo hajatoka, lete Maneno mkuu😃
kila mechi ina pressure yake, style ya uchezaji kwa timu pinzani inakua tofauti, strategy tofauti na Psychology bila kusahau ubora wa timu na hata mazingira ya mechi inakua tofauti.
Sasa kwa mechi ya PSG tulikua mbele ya goal mbili kwa aggregate, ilikua tunahitaji kushambulia kwasabab Kila goal kuingia ingezidisha tofauti ya goal kua kubwa na kuzidi kuwapa pressure PSG na wakaanza kujilinda. Hii ingepunguza wao kutushambulia
sasa kufanikisha hili ilihitajika player Kama Yamal. So kumuondoa mchezaji ambaye alikuwa threat kwa PSG katika kushambulia kama ambavyo tuliona jinsi alivyo wapa wakati mgumu katika dk 30 za mwanzo na tena ikapelea yeye kutoa assist ya goal, kwa kweli wasn’t the right call for Xavi aisee, hapa alizingua.
Yamal angeweza kusababisha matatizo mengi kwa PSG, hata Nuno Mendes analijua hili. Barca walipungua nguvu katika offence kwasabab Yamal hakuwepo bcoz dogo anaweza kucheza chenga, kutawala mpira, kupiga pasi na kutengeneza nafasi, Lamine Yamal ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati, kiungo mkabaji au winga ambayo ndo nafasi yake kwasasa na hasa upande wa kulia, pia anaweza kushuka nyuma kusaidia katika defense. So sikuona sababu ya Xavi kumtoa kwa
kweli.