Tunapokea pongezi zako mkuu. Ni wapinzani wachache wenye macho mazuri ya kimpira wanaoweza kuona potential ya project yetu. It's just a matter of time, tutaitawala ulaya kwa muda mrefu sana!Natoa pongezi kwa ushindi wa leo dhidi ya Athletic Bilbao wa maholi 2-1.
Mmeanza msimu vizuri. Na vijana ni wadogo sana ila kazininafanyika. Naiona Barca ikifanya vizuri kwa badget hii ndogo.
Again hongereni sana.
Messi mtupu.Hakuna anayeangalia gemu leo,,ebwana Barca wamewaka huyu Yamal hatari
Huyu mtoto ana akili balaa angalia goli la 5 pasi alivyopiga alindwe kwa nguvu zote aises.Messi mtupu.
Tatizo lenu mkiwa na red card hamuwezi kuform shield. Mpo pungufu afu mnajihamba kumiliki mpira. Ingewafaa kuform shield huku mkipiga mshambulizi ya kushitukiza. Monaco walicheza kichovu sana ama sivyo mngekula nyingi jana.Baca wako pungufu aisee