- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Tunapokea pongezi zako mkuu. Ni wapinzani wachache wenye macho mazuri ya kimpira wanaoweza kuona potential ya project yetu. It's just a matter of time, tutaitawala ulaya kwa muda mrefu sana!Natoa pongezi kwa ushindi wa leo dhidi ya Athletic Bilbao wa maholi 2-1.
Mmeanza msimu vizuri. Na vijana ni wadogo sana ila kazininafanyika. Naiona Barca ikifanya vizuri kwa badget hii ndogo.
Again hongereni sana.