FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu hii gemu ndio ilinifanya niichukie liverpool hadi leo, nakumbuka nilikuwa chuo Informatics Udom tena kipindi cha UE aisee hii gemu ilinikata mood kabisa hata ya kusoma, tokea siku hiyo sijawahi ikubali liverpool
Pole sana! Tukikutana tena itakuwa super match. Maana hakuna matumizi ya nguvu tena kama dhidi ya Real Madrid.
 
Bila kumsahau the next Iniesta Marc Casado.

Hii Barca imesheeni watoto wenye vipaji wanajua mpaka wanakela.

Hii timu itasumbua sana Ulaya.
Pale kati midfields wanafaa wakae Casado Pedri na Olmo kama AMF
 
Pedri anampira fulani hivi rahis sana unlike Gavi jamaa yuko very aggressive ni bora awe anaanzia benchi kutuepusha na kadi
Ni kweli Gavi yuko aggressive sana.

Dogo ni mbishi na uwa hakubali kupitwa kirahisi.

Yuko tayari akuchezee rafu au akushike apewe kadi lakini sio kupitwa.
 
Et mnafanya high pressing harafu...mnajilinda namna hii..

Hamkabi mnakimbilia kusema Inshallah acha iwe offside.
 
Attachments

  • FB_IMG_1731276787654.jpg
    29.4 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…