ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 495
- 527
Pole sana! Tukikutana tena itakuwa super match. Maana hakuna matumizi ya nguvu tena kama dhidi ya Real Madrid.Mkuu hii gemu ndio ilinifanya niichukie liverpool hadi leo, nakumbuka nilikuwa chuo Informatics Udom tena kipindi cha UE aisee hii gemu ilinikata mood kabisa hata ya kusoma, tokea siku hiyo sijawahi ikubali liverpool