FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

HT

Betis 1 Barca 2.

Hawa wababe wa madrid lazima tufanye jambo tukikaa vibaya watatuaibisha.
 
Yule msemaji wa familia ya Goti toka Kumbwidu atakuja na sababu mwitu za kadi nyekundu na kupendelewa.
FB_IMG_17922117886129084.jpg
 
Mechi ilikuwa nzuri sana
Me ni Barca ila Lamine kazingua. Baada ya ile red nilikuwa hata sina tena moral ya kuangalia mpira.
Jamaa wapo vizuri.

Wapo aggressive na sharp sana.

Ukiwa mvivu lazima wakukande.

Wametupa game tough sana.

Wakiendelea na mwendo huu watamaliza top 4.
 
Back
Top Bottom