FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

De Jong kukaa beki wa kati sio kweli mkuu.
CB sio nafasi ngeni kwa De Jong kashacheza timu ya taifa ya uholanzi pia na Ajax ya 18/19 aki pair na De light.

Sio nafasi ngeni kwake anaweza kuicheza vizuri tu.

Tena kwa aina ya mpira wa PSG haitomsumbua kabisa.
 
IMG-20261020-WA0014.jpg
 
CB sio nafasi ngeni kwa De Jong kashacheza timu ya taifa ya uholanzi pia na Ajax ya 18/19 aki pair na De light.

Sio nafasi ngeni kwake anaweza kuicheza vizuri tu.

Tena kwa aina ya mpira wa PSG haitomsumbua kabisa.
Naona ameanza benci De Jong.
 
Hatimaye siku imefika.

Ni El clasico leo.

Mnaionaje mechi yetu leo?

Aleyn

Da vincci

Angel Nylon
Habari Mkuu

1. Kutokuwepo kwa Vinicious ni advantage kubwa sana kwetu sababu beki namba 2 yetu Kounde ni majeruhi na hata akiwep huwa anasumbuliwa kwa namna fulani na jamaa. Vini ni moja ya winga ambazo Madrid anazitegemea sana kuanzisha mashambulizi, na ni mtu ambae zinaclick na Mbappe, toka nifahami hatokuwepo leo nimejiskia furaha.

2. Kocha akichanga karata zake vizuri kwa kuanza na Pedri na Rodri na Olmo anaweza akasaidia kuimaliza game mapema.

3. Siwaoni Madrid wakitusumbua sana leo kule mbele kwa kuwa Vini hayupo.

4. Naamini kocha amewaweka sawa wachezaji kisaikolojia baada ya kupoteza game dhidi ya PSG. Madrid wakiingia mchezoni kwa Barca ile dhidi ya PSG basi tutampasua tena 4 au 5 as usual.
 
Back
Top Bottom