FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sio mbaya sana Mkuu Game ya PSG alishikwa sana Olmo. Leo kazi tunayo pale kati.
Kwenye kutawala dimba sina shida sana.

Ndipo strength ya Barcelona ilipo.

Dimba naamini tutalitawala vizuri.

Madrid wazuri sana kwenye wings zao wakiwatumia Mbappe na Diomande.

Acha tusubiri hiyo usiku tuone.
 
The Knight has returned

Master Himself De Jong

Nataman angekua fit madrid wakutane na Pedri De. Jong na Rodri😃😃
 
Mimi kwa current form yetu ukiachilia mechi na PSG naona tuko vizuri kuliko Madrid.

Madrid hawako vizuri kivile ila tusiwachukulie poa sababu mechi ni El clasico tukikaa vibaya watatufunga.

Ngoja tuone game itakwendaje.

Aleyn
Mguu wowote tutakaoingia nao leo lazima tushinde, tena Madrid tunampgia mpira mkubwa sana leo.
 
Mimi kwa current form yetu ukiachilia mechi na PSG naona tuko vizuri kuliko Madrid.

Madrid hawako vizuri kivile ila tusiwachukulie poa sababu mechi ni El clasico tukikaa vibaya watatufunga.

Ngoja tuone game itakwendaje.

Aleyn[/USER
[/QUOTE]

Leo 4 au 5 zipo kweli Mkuu.
Sijapita hapa long tym ago. Habari mkuu. Leo mtashinda. Kwa backline ya Madrid sioni ni vp hawatapigwa. Konate na Hujsen ni uchochoro mbaya kabisa.
Nikutakie ushindi mnono.
 
Sijapita hapa long tym ago. Habari mkuu. Leo mtashinda. Kwa backline ya Madrid sioni ni vp hawatapigwa. Konate na Hujsen ni uchochoro mbaya kabisa.
Nikutakie ushindi mnono.
Pale kati wamemuweka mzee bernado, mbona waji wataita mma.
 
Nadhan Deco na Laporta January wanajua cha kufanya


Operation UEFA msimu huu kwa mwendo huu na hizi injuries tunaweza toka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…