Hivi kwanini una mashaka sana kuangalia hiyo final. Jikaze tuu Mkuu, njoo uangalie.
Sitaki kukutibulia shamrashamra za ubingwa wa La Liga, endelea kushangilia kwanza halafu ntaijibu hii post yako
#TukutaneBerlin
Ahahahahahahhahaha una mikwara kama Gang Chomba
Daah hawa Barca B msimu huu wako vibaya sana cjui wana nini hata
Najivunia kuwa Barcelona maana endapo ningeingia choo cha kike kukimbilia epl au madrid cjui uso wangu ningeufuchia wap VISCA EL BARCA
Pata picha ungekuwa Ac Milan, cc Mourinho na Gang Chomba.
Asante xana Xavi kwa mchango wako kwenye Club Barca...hiyo ndo raha ya kukaa kwenye timu mda mrefu unakuwa Legendary. Xavi anaondoka wakati mzuri, Barca tunachukua Trebble msimu huu.
hivi mkuu kama Xavi angekuwa hasugui benchi toka huyu kocha aje hv angeondoka kweli?Jamaa yuko na 35 years bado yuko fiti anaenda kupiga hela qatar