FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daah hawa Barca B msimu huu wako vibaya sana cjui wana nini hata
 
Official: Xavi announces he will leave Barcelona for Al Sadd after 17 years at the club. #Legend

xavi 1.jpg


xavi 2.jpg
 
Najivunia kuwa Barcelona maana endapo ningeingia choo cha kike kukimbilia epl au madrid cjui uso wangu ningeufuchia wap VISCA EL BARCA
 
Respect kwako Xavi Hernandez. Xavi, Iniesta na Messi kizazi chenu daima kitakumbukwa. Mmenifanya nizidi kulipenda sana na zaidi ya sana soka la Spain.
Magician, Maestro, Legendary, Magesteriooooooooooooo Xaviiii!!!!! Nenda kwa amani. Sitakusahau.
 
xavi amekuja kipindi cha messi na ronaldo kwa hyo ameshindwa ku-exist kabsa amekuwa ni moja kati ya classic player @ all the tym
 
Asante xana Xavi kwa mchango wako kwenye Club Barca...hiyo ndo raha ya kukaa kwenye timu mda mrefu unakuwa Legendary. Xavi anaondoka wakati mzuri, Barca tunachukua Trebble msimu huu.
 
Pata picha ungekuwa Ac Milan, cc Mourinho na Gang Chomba.

ha ha ha ha ha ha mkuu daaaah cpatii picha maana kwa sasa Gang Chomba na Mourinho lazma watakuwa na matatzo ya kisaikolojia sababu haiwezekani huyo sosuolo amfanyie acmilan namna ile mbaya zaid yule dogo benard ana sifa sana mechi mbili goli 7 dhid ya ac milan
 
Last edited by a moderator:
Asante xana Xavi kwa mchango wako kwenye Club Barca...hiyo ndo raha ya kukaa kwenye timu mda mrefu unakuwa Legendary. Xavi anaondoka wakati mzuri, Barca tunachukua Trebble msimu huu.

ni kweli mkuu daima tutammic xavi
 
Xiavi huyu jamaa tutamkumbuka sana kwa mchango wake alioutoa pale catalunya respect kwake
 
Jamaa yuko na 35 years bado yuko fiti anaenda kupiga hela qatar
 
Daaaah hawa ant-messi wanasumbua sana ila leo lazma tuchinje mtu tena mapemaaaa moja na nusu usiku
 
Vamos Vamos Barca...... Leo tunamaliza ligi kwa heshima, Deportivo watapiga gwaride la heshima...... Sasa akili yote tarehe 30 na 6 tu.....
 
Back
Top Bottom