FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

mimi bana niko kwa upande wa fisadi blatter sababu nackia anaibebaga barca japo cjaona wap alipowabeba ila sababu kuu anamkubali MESSSI na BARCA
 
mimi bana niko kwa upande wa fisadi blatter sababu nackia anaibebaga barca japo cjaona wap alipowabeba ila sababu kuu anamkubali MESSSI na BARCA

na tuombe uchaguzi ujao wa marais pale Catalunya Laporta apite, huyu ndo ana connection na wazee wa system za UEFA. Tutacheka saaaaaaaana!!!
 
Tunamshukuru Mungu kwa siku nyungine tena ni siku ya jumamosi siku ambayo MABINGWA WA SPAIN FC BARCELONA miamba ya dunia katika upande wa soka leo tukienda kutwaa kombe la pili kati ya saba tutakayoshindania mwaka huu. Ni kombe lenye heshima SPAIN kuliko la liga VIVA BARCELOOOOOOONA
 
leo Barcelona tunachukua ndoo ya 27 ya kopa delay tukifuatiwa na athetic bilbao mara 23 alaf madrid mara 19 ,atletico.mara 10 na valensia mara 7
 
baada yabkumtimua anceloti sasa hivi tutajupigia Madrid hadi coach asome mchezo
 
the south american trio of Suarez,Neymar and Messi start for barca-this is bad news for Bilbao
 
Dah!!! Neymarr offside lilikuwa bonge la pasi toka kwa Messi
 
Suarez naye kakosa so far utatu umeanza kuwork tutapachika bao muda si mrefu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…