Kosa kubwa, kwenye finals huwezi ku-underestimate uwezo wa mwenzako mkuu. Lakini, Man U nahisi watanyakua kombe hili kwa mara ya pili... Kuna dalili flani hivindio tatizo la kujiamini kupita kiasi... alipojua kuwa mabeki wengi wa barca wako nje walidhani kutakuwa mchochoro
mwambie asiwe na wasi wasi, kutangulia si kufikaHahahaha,
Jamaa yangu hapa anatokwa machozi, naona uzalendo unamshinda kuangalia,,, kaamua akae pembeni mpaka asikie taarifa tofauti na Man U 0 - Barca 1
Angekuwa Drogba au Ronaldo hehehehehe usipimie mkuu!he! mnaona mambo ya messi hayo, anaangushwa lakini aombi faul, anaamka na kutafuta mpira uko wapi!!!
Hilo halina ubishi, mwabie huyo ndugu yao arudi kushangilia....Lakini, Man U nahisi watanyakua kombe hili kwa mara ya pili... Kuna dalili flani hivi
Messi hajaifunga timu yoyote ya UK katika UEFA