FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ndio tatizo la kujiamini kupita kiasi... alipojua kuwa mabeki wengi wa barca wako nje walidhani kutakuwa mchochoro
Kosa kubwa, kwenye finals huwezi ku-underestimate uwezo wa mwenzako mkuu. Lakini, Man U nahisi watanyakua kombe hili kwa mara ya pili... Kuna dalili flani hivi
 
Hahahaha,

Jamaa yangu hapa anatokwa machozi, naona uzalendo unamshinda kuangalia,,, kaamua akae pembeni mpaka asikie taarifa tofauti na Man U 0 - Barca 1
mwambie asiwe na wasi wasi, kutangulia si kufika
 
Messi hajaifunga timu yoyote ya UK katika UEFA

Na pia Ronaldo hajawahi kuigunga timu yoyote ya Spain kwenye UEFA....Pia Thiery Henry keshakwapua makombe yote kuanzia World Cup hadi FA na La liga ila bado UEFA...
 
Kosa la Ronaldo ndo hili, kama Drogba vile! Kulalamika tuuuuuuuuuuu
 
Mvua ilitakiwa kunyesha lakini haikuwa hivyo,so humidity inawezekana ikawa high,inawezekana ikawa ni factor maana wachezaji naona hawazunguki na kuhaha uwanjani kama kawaida kwenye mechi kama hii,hili linawapa sana nafasi Barca...Barca wanawanyanyasa sana leo na kama Man U wanataka ushindi basi kwa mtaji wataula wa chuya....Etto,Messi na Henry wana magoli 98 kwenye mashindano makubwa btn them,na hapa naona wamekoswa koswa Man U.
 
Back
Top Bottom