Jamani naomba kueleweshwa nini kimemfanya huyu jamaa wa A.B amuwakie hivyo Neymar?
baada ya neymar kumpiga darizi aliona aibu ndio akamsukuma neymar nae neymar kama unavyo mjua kuguswa tu kajiangusha sasa yule jamaa kilichimkera ni yule neymar kujiangusha ndio akaanza kumfyokea neymarJamani naomba kueleweshwa nini kimemfanya huyu jamaa wa A.B amuwakie hivyo Neymar?
neymar na iniesta ndio wameenda kulinyanyua kombe fantastic visca barca
Huyu Pique mbona anakata nyavu za goli?
nilisha rekebisha mkuu furaha ilikua nyingi nilijikuta nimeandika neymarXavi na Iniesta mkuu...
Neymar na wengine wapo kwenye pitch wanasubiri jamaa washuke nalo...
Kawaida yake huyo hata fainali ya UEFA wimbley alifanya hivyo