FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kitu Ancelot bwana, jamaa alitengeneza timu ikawa inacheza soka la kufunguka bila madhara yoyote.
Endapo jamaa angebaki mimi nadhani msimu ujao still angetuburuza Santiago Bernabeu, kocha mzuri sana huyu Ancelot.
Mimi nionavyo hapo Enrique hakosi usingizi kabisa maana Perez ndio atanunua wachezaji na kupanga timu/ benetez hapo ni fall guy wa kutupiwa lawama.
 
jamani kabla hatujachukua ndoo yetu nataka niapate moja kati ya hizi ushauri naomba kutoka namba 1 hadi 9
f4.jpgf6.pngf3.jpg f2.jpg

f5.jpgf6.jpgf1.jpg09.jpg
f7.jpg
 
We will miss u Xavi....... chebi jmosi Xavi hatacheza?
 
Last edited by a moderator:
Ana bahat maana alijisifia kuwa messi hawez msumbua nahisi kajifanyisha ili asipate aibu

Messi hua anajua mahali pa kujibia maswali ya mtihani ni chumba cha mtihani sio vijiweni. Majibu ya Berlin yangempa kiwewe kama mzee Ferguson alivyotetemeka messi akipiga kichwa na uandunje wake. Messi ni kipimo cha ubora..ili mxhezaji aitwe bora ni mpaka uvunje rekodi za messi.
 
mkuu umemaliza na sina cha kuongeza ningekuwa natumia pc ningekupa like ya nguvu
 
Ana bahat maana alijisifia kuwa messi hawez msumbua nahisi kajifanyisha ili asipate aibu

Ahahahahaha kumbe ujanja ujanja haupo Bongo tuu, hata ulaya upoo!!! Chielin mjinga sana!!!
 
Back
Top Bottom