FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni kweli kabisa, kuanzia makundi mpaka final ni refa ndo kawafikisha.

ukisikia pumba ndio hizi tupe mechi moja ambayo barca kabebwa na refa tayari mshaanza vijisibabu visivyo eleweka
na bado neno moja hamjasema [uefalona] watu wengine bwana barca akishindwa timu lao lemefulia akishinda uefalona au amebebwa hebu jifunzeni kukubali pale mnapo shindwa
 
first line up confirmed today

line up today.jpg
uspime
 
Leo tena katika makombe saba mwaka huu tunayotakiwabm tuyachukue tunaweja stoo kombe la 3 huku tukibakiza manne
 
Toa ushahidi...sio kuropoka tu

mkuu umemuelewa vibaya kuna mtu.mbishi sana gang chomba alisema kuwa barca wamebebwa mpaka final sasacili kutotaka ubishani nae akamwambia ndio wamebebwa kuanzia makundi mpaka fainali (timu gani ibebwe kila mechi) ila Aleyn ni mkatalunya mwenye damu ya BARCELONA hvyo sote ni wamoja
 
Last edited by a moderator:

Hapo nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom