PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Team barcelona mda wa kombe unakaribia
mkuu naomba utabir wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team barcelona mda wa kombe unakaribia
Hapo nimekuelewa mkuu
Team barcelona mda wa kombe unakaribia
sote ni wamoja na familia moja ya ushindi VIVA BARCELONA
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha@frank wanjiru Gang ChombaKwa mara nyingine tena dunia inakwenda kusimama kwa dakika zisizopungua tisini ili kuishuhudia barcelona ikichukua kombe lake pale berlin..... Hakika ni bahati iliyoje kwetu sote kuushuhudia utatu huu mtakatifu ambao haujapata kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu. Hakika tumepata cha kuwasimulia wajukuu zetu, tutawaambia, "hapo zamani walikuwepo vijana watatu wakiitwa messi, suarez na neymer, wajukuu zangu, vijana hawa walibarikiwa kuliko kawaida, walichezea mpira kwa jinsi walitaka wao, walaifunga magoli kwa namna walivyotaka wao. Wajukuu zangu, vijana hawa wataendelea kukumbukwa kwa kile walichokifanya mnamo tarehe 6 mwezi wa 6 mwaka 2015. Siku hiyo walikuwa walicheza na timu moja nimeisahau jina sababu haikuwahi kuwa bora.... basi hiyo timu ilipigwa goli tatu za kitaalamu sana"
ukisikia pumba ndio hizi tupe mechi moja ambayo barca kabebwa na refa tayari mshaanza vijisibabu visivyo eleweka
na bado neno moja hamjasema [uefalona] watu wengine bwana barca akishindwa timu lao lemefulia akishinda uefalona au amebebwa hebu jifunzeni kukubali pale mnapo shindwa
Kwa mara nyingine tena dunia inakwenda kusimama kwa dakika zisizopungua tisini ili kuishuhudia barcelona ikichukua kombe lake pale berlin..... Hakika ni bahati iliyoje kwetu sote kuushuhudia utatu huu mtakatifu ambao haujapata kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu. Hakika tumepata cha kuwasimulia wajukuu zetu, tutawaambia, "hapo zamani walikuwepo vijana watatu wakiitwa messi, suarez na neymer, wajukuu zangu, vijana hawa walibarikiwa kuliko kawaida, walichezea mpira kwa jinsi walitaka wao, walaifunga magoli kwa namna walivyotaka wao. Wajukuu zangu, vijana hawa wataendelea kukumbukwa kwa kile walichokifanya mnamo tarehe 6 mwezi wa 6 mwaka 2015. Siku hiyo walikuwa walicheza na timu moja nimeisahau jina sababu haikuwahi kuwa bora.... basi hiyo timu ilipigwa goli tatu za kitaalamu sana"
ha ha ha ha ha ha ha ha ha unawaps presha Mourinho
Wazee wa kuweka mzigo nawaonea huruma wanavyopotea
mbet leo iko hv ukiweka elf 10 barca win unapata 15000 ila ukiweka juve win ukaweka hyohyo elf 10 unapata 50000 sasa wale sio wajinga
mbet leo iko hv ukiweka elf 10 barca win unapata 15000 ila ukiweka juve win ukaweka hyohyo elf 10 unapata 50000 sasa wale sio wajinga
Hahahaaaaa shauri zako..... zitabanwa adi juve ashindeee
Wale si wanajua nani mkali, na nani mbahatishaji
Wanaosubiri maajabu, maajabu pekee watakayoyaona ni messi kufunga goli zuri na kuweka rekodi nyingine.