jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Mimi nionavyo hapo Enrique hakosi usingizi kabisa maana Perez ndio atanunua wachezaji na kupanga timu/ benetez hapo ni fall guy wa kutupiwa lawama.Kitu Ancelot bwana, jamaa alitengeneza timu ikawa inacheza soka la kufunguka bila madhara yoyote.
Endapo jamaa angebaki mimi nadhani msimu ujao still angetuburuza Santiago Bernabeu, kocha mzuri sana huyu Ancelot.















