FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaaa....kama ulikua pub nadhani bado hujatoka mpaka muda huu unaendelea kushangilia.

jana nimelala saa 10 yani.juve walivyosawazisha lile goli nikavunjiwa tachi yangu na nikamwagiwa maji maji ya kuoshea glas za bia ila shukrani ziwafikie msn kwa kunifanya nionekane mtu tena mbabe
 

Hahahaha!! Niliminya haswaa ukiangalia utajua kwanini nilikwambia minya yaani dakika hizo za mwisho ndo Juve walikuwa wanataka kusawazisha kitu kiongezwe dakika ,walishambulia we acha tu hatujakaa vizuri kitu kikapigwa counter attack Neymar akawamaliza nguvu kabisa Juve ikabidi na game iishe tu.......kumbe jana ulikuwa timu Juve !! Hahahaha!! Juve ni marafiki zangu ndo maana jana sikucheza kigodoro kabisa.
 
Reactions: BAK
yaani jana wamshukuru sana bufon yule jamaa nimemkubali mpira uliopigwa na dani alves na mwengine uliopigwa na suarez jana tungalihesabu mkono ukiachia ile pasi ya neymar haijamfikia messi yaani jana messi walimbana kupita kiasi bado kidogo tu ije msn na imekuja sn
 
Tukiwa tyar tushaweka kibindoni makombe matatu na tukibakiza mengine ma4 ili yawe jumla ya 7 sema hofu yangu katika hawa MSN na Dani alves Bravo pamoja na Mascherano wanaweza wasiwe vzur sana kwa mwakani au msimu utakaoanza kutokana na kutopumzika kabsa hata mwez tofaut na wachezaji wengine duniani
 
muhimu wasi umie tu mkuu muda wa hayo mashendano ni mwezi mmoja tu kutoka tarehe 11 jun hadi 4 july. haina shida muhimu wasije kuvunjika
 
muhimu wasi umie tu mkuu muda wa hayo mashendano ni mwezi mmoja tu kutoka tarehe 11 jun hadi 4 july. haina shida muhimu wasije kuvunjika

mkuu tatzo ukifika huo wa saba barca wanacheza kombe jingine marekani huoni hilo nalo tatzo
 
usiwe na wasi hile inaitwa barca tuna wachezaji ambao wee umeona msimu huu wengi walikua bench kuna pedro rafihna na beki mpya thomas varmelin usiwe na wasi wa msn wacha waende kuiwajibikia nchi zao huo ndio uzalendo
 
source .All you need to know about the 2014/15 treble party | FC Barcelona

All Club Members and fans– including children – who want to come along to the Camp Nou to celebrate the treble on Sunday must have a ticket, available free from the Club ticket offices from nine o'clock in the morning local time until all are distributed.

Barça have won their second treble and on Sunday they'll be celebrating their historic achievement with the fans on an open top bus parade through the city beginning at 7pm CET and culminating with a party at the Camp Nou starting at about ten.
[h=2]How do I get a ticket for the Camp Nou party?[/h]Everyone who wants to come along to the Camp Nou, including children, must have a ticket, available free from the Club ticket offices from nine o'clock in the morning local time until all are distributed. The ticket offices are at access gate 1 (Miniestadi) and 4 (Gol Nord) and exclusively for Club members until 1.00 pm at gate 15. After this time, tickets from this office will also be available to the public. Each Club Member is entitled to four free tickets.
The Club took the decision to regulate access to the final party on the advice of the Catalan police force, with the aim of safeguarding the fans attending and ensuring maximum security during the event.
The Camp Nou will not be open to vehicles of any sort for the general public or members holding parking permits.
CAMP NOUACCESS
[h=2]Open top bus parade starting at the Estació del Nord[/h]7.00 pm: Start at the Parc de l'Estació del Nord (carrer de Nàpols).
Route (see map): avinguda de Vilanova, Arc de Triomf, ronda de Sant Pere, via Laietana, ronda de Sant Pere-Plaça Urquinaona, passeig de Gràcia, Aragó, avinguda de Roma, Comte d'Urgell, avinguda de Sarrià and plaça del doctor Ignasi Barraquer.
There will be four celebration points on the route: (Arc de Triomf, plaça Urquinaona, Aragó-Rambla Catalunya and avinguda Sarrià-Josep Tarradellas).
9.30 pm: End of the open top bus parade (plaça del doctor Ignasi Barraquer).

[h=2]Party at the Camp Nou:[/h]7.30 pm: Gates open at the Club installations and the Camp Nou for ticket holders. Live music and video link to the parade
10.00 pm: The celebrations begin with a spectacular light and image show and a look back at the highlights of the season and the five European Cups the Club have lifted (London 92, Paris 06, Rome 09, London 11 and Berlin 15).
The players will do a lap of honour around the pitch and the party will climax with an eight-minute long musical firework display.
[h=1]SEE MORE CONTENTS[/h]

sssss
 
Kitu live hapa kutoka camp nou watu wanasherehekea wapi aleyn
 
Master of citeis naomba msaada kwako vipi naweza kuweka hizi picha na zika na zoom kubwa kama hizo manaake kila nikiweka hua ni ndogo mpaka mtu akiclick tafadhali nifahamishe mkuu
 
Breakiiiiiiiiiing News BARCELONA IMEFANIKIWA KUMSAJILI MCHEZAJI WA SEVILA ALEIX VIDAL KWA MKATABA WA MIAKA MI5 HADI 2020 hata hvyo winga huyo ataanza itumikia barcelona mwaka 2016 kutokana na matatzo yetu ya kufungiwa
 
Breakiiiiiiiiiing News BARCELONA IMEFANIKIWA KUMSAJILI MCHEZAJI WA SEVILA ALEIX VIDAL KWA MKATABA WA MIAKA MI5 HADI 2020 hata hvyo winga huyo ataanza itumikia barcelona mwaka 2016 kutokana na matatzo yetu ya kufungiwa

Kwaiyo huyo mchezaji na kakubali asichezee miezi 6 au hatakuwa bado anaichezea sevilla kwaiyo miezi 6 :what:
 
Kwaiyo huyo mchezaji na kakubali asichezee miezi 6 au hatakuwa bado anaichezea sevilla kwaiyo miezi 6 :what:
atakuwa anaichezea sevila had hapo january atakapojiunga rasmi na barcelona
 
Dani Alves came from Sevilla 2008/2009
Barca won CL 2008/2009
Adriano came from Sevilla 2010/2011
Barca won CL 2010/2011
Rakitic came from Sevilla 2014/2015
Barca won CL 2014/2015
Vidal came from Sevilla 2015/2016
If you know what i mean
 
Dani Alves came from Sevilla 2008/2009
Barca won CL 2008/2009
Adriano came from Sevilla 2010/2011
Barca won CL 2010/2011
Rakitic came from Sevilla 2014/2015
Barca won CL 2014/2015
Vidal came from Sevilla 2015/2016
If you know what i mean

Cesc ndo alikuwa na mkosi, alikuja na gundu lake la Arsenal Camp Nou!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…