PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
ni habari njema dani ameongeza mda tena ataichezea barca kwa mihula 3 tena ijayo thanks dani
samahani mkuu wamesema mpaka 2017 wapi GANGchomba Frank Wanjiru
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni habari njema dani ameongeza mda tena ataichezea barca kwa mihula 3 tena ijayo thanks dani
ni habari njema dani ameongeza mda tena ataichezea barca kwa mihula 3 tena ijayo thanks dani
duuuuuh hiyo kaliThomas vermaelen alazimishwa na UEFA kurudisha medali ya ushindi wa klabu bingwa kutokana na kutocheza mechi hata moja ya UEFA msimu 2014/2015. Hicho ni kigezo mojawapo cha kupewa medali hiyo.
Thomas vermaelen alazimishwa na UEFA kurudisha medali ya ushindi wa klabu bingwa kutokana na kutocheza mechi hata moja ya UEFA msimu 2014/2015. Hicho ni kigezo mojawapo cha kupewa medali hiyo.
Messi tops scoring record for UEFA
niliona hata chelsea walipokuwa wanachukua EPL walichukua wenye kucheza kuanzia mechi tatu.Thomas vermaelen alazimishwa na UEFA kurudisha medali ya ushindi wa klabu bingwa kutokana na kutocheza mechi hata moja ya UEFA msimu 2014/2015. Hicho ni kigezo mojawapo cha kupewa medali hiyo.
Ukiicheki record hii surely Barca deserved to be a champion......
niliona hata chelsea walipokuwa wanachukua EPL walichukua wenye kucheza kuanzia mechi tatu.
luis enrique ataendelea kuifundisha barca mpaka 2017 jana kashaweka sign
luis enrique ataendelea kuifundisha barca mpaka 2017 jana kashaweka sign
hii picha sio ya leo messi yuko agentina tayari kwa mashidano ya copa america hilo la kodi sikubishiiMessi afikishwa tena mahakamani kwa ile ishu ya kodi ambayo waendesha mashtaka wa Barcelona walishashindwa kutoa ushahidi.
![]()