FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kuna shabiki mmoja wa chelsea kashaanza kusema eti ballon d' or anaetazamiwa kuichukua mwaka 2015 ni eden hazard jamani kweli inaingia akilini hiyo

Hodi mabingwa Wa ulaya!

Kuna group tunataka kuanzisha Jf soccer tunaomba ushirikiano wenu km wapenzi Wa soccer. Ntatoa no zangu za simu ili tuweze kuwasiliana!
 
Hodi mabingwa Wa ulaya!

Kuna group tunataka kuanzisha Jf soccer tunaomba ushirikiano wenu km wapenzi Wa soccer. Ntatoa no zangu za simu ili tuweze kuwasiliana!
mkuu anzisha tupo tayari ila pasiwe na matusi na pia sijui litakua kivipi hilo group lisije kua group tu la kuisifu chelsea
 
kuna shabiki mmoja wa chelsea kashaanza kusema eti ballon d' or anaetazamiwa kuichukua mwaka 2015 ni eden hazard jamani kweli inaingia akilini hiyo
bangi za kuvutia vichochoroni
 
hilo kundi litakuwa fujo maana kila mtu anateam yake. makundi ya dizaini hiyo huwa hayalast.

ni kweli mkuu fujo zitakuwepo sababu hakuna mtu anayetaka timu yake iwe chini ila wakat mwingine inaleta uchangamfu kwan ni sawa mtu kwake ana dstv ila anaenda vibandaumiza au pub ili mrad kupata hamasa kutoka kwa mashabiki mbalimbali hvyo inaboa na pia inafurahisha
 
Back
Top Bottom