Nimekusoma mzee!
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....
Mkuu ushawahi kucheza soka?
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....
ukiona kimya ujue anashughulika sehemu, maana hatokuwepo hapa. naona nawe umetinga baada ya kumaliza kushughulika!!!! lolYo Yo yuko kwenye Jukwaa la mambo ya Kikubwa ama anashughulika sehemu?
All the best Man Utd..Nitajadili zaidi baada ya dk 90.
Kipindi cha pili Barc watasaidiwa na mtelemko na upepo...! Hivyo magoli yatakuwa mengi tu...😀
Bado Man U wameelemewa hata kipindi hiki cha pili... Nani atoke sasa ili aingie Barbetov?...🙂 haya!
Jamaa kanichekesha, eti wanasaidiwa na upepo? LoLMkubwa!!! acha kurusha roho aisee.... Unajua unaaminika sana????
Ni raha tu leo
Bado Man U wameelemewa hata kipindi hiki cha pili... Nani atoke sasa ili aingie Barbetov?