FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimekusoma mzee!


Yeah, Iniesta, Xavi na Messi ni utatu mbaya sana mkuu. ManU wamekamatwa katikati, midfield yao haioni mpira sababu ya hao jamaa watatu....especially Xavi na Iniesta. Wanajaua kumiliki mpira, na wakipoteza wanakaba haraka.!
 
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....

Mkuu ushawahi kucheza soka?
Naona Tevez anaingia.
 
Tevez anaingia badala ya Anderson....Man wana-throw kitchen think mapema namna hii??!
 
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....


Ndo huyo huyo aliyewapa ubingwa mwaka jana na hat-trick ya PL
 
Yo Yo yuko kwenye Jukwaa la mambo ya Kikubwa ama anashughulika sehemu?
ukiona kimya ujue anashughulika sehemu, maana hatokuwepo hapa. naona nawe umetinga baada ya kumaliza kushughulika!!!! lol
 
Ball possession ilikuwa 54 kwa Barca na 46 kwa Man U, itabadilika?
 
Kipindi cha pili Barc watasaidiwa na mtelemko na upepo...! Hivyo magoli yatakuwa mengi tu...😀

Mkubwa!!! acha kurusha roho aisee.... Unajua unaaminika sana????

Ni raha tu leo
 
Man U ni kama hawako uwanjani,leo wanaweza kulala kwa bao nyingi landa wafanye mabadiliko makubwa sana.
 
Back
Top Bottom