Anampenda mnooo basi kiburi tu.
sasa mamaa nakuachia hii thread uwe japo unailinda hii thread maana kule JF WASAP GRUP nikipotea kidogo wanaiponda barca
sasa mamaa nakuachia hii thread uwe japo unailinda hii thread maana kule JF WASAP GRUP nikipotea kidogo wanaiponda barca
Mwe mlinzi mwenyewe mie sasa huo mpira naushabikia tu hata siujui, huyo cute b akirudi tena sijui nitamfanyaje!!! Ngoja nitumie ubabe kidogo, wewe cute b ujue wewe ni mdogo wangu kabisaaaaa sasa naomba uwe na adabu ni dhambi kubwa mno kubishana na wakubwa zako, nitakuachia laana ujue!!! Sasa ole wako!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha sasa nikufundishe mwambie hv kuwa man u wamefungwa fainal mbili za uefa na barca hvo man u hawaiwez barcaMwe mlinzi mwenyewe mie sasa huo mpira naushabikia tu hata siujui, huyo cute b akirudi tena sijui nitamfanyaje!!! Ngoja nitumie ubabe kidogo, wewe cute b ujue wewe ni mdogo wangu kabisaaaaa sasa naomba uwe na adabu ni dhambi kubwa mno kubishana na wakubwa zako, nitakuachia laana ujue!!! Sasa ole wako!
Mbona mimi hamniweki huko kwenye group? Acha roho mbayaa
Hahahaaaa barca mbona inajulikana ni mbovu tuu... hilo halina ubishi sema mjue nini shukuruni mungu fainal mliingia na wa italy lait ingekuwa ni wale viboko yenu wa ujerman mbona mngetaga....
Hahahaaaa barca mbona inajulikana ni mbovu tuu... hilo halina ubishi sema mjue nini shukuruni mungu fainal mliingia na wa italy lait ingekuwa ni wale viboko yenu wa ujerman mbona mngetaga....
mikiki ip wakat wewe barca mumeo tena wala hubani unatoa tu atoto asikutishe huyu
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha sasa nikufundishe mwambie hv kuwa man u wamefungwa fainal mbili za uefa na barca hvo man u hawaiwez barca
Kweli mashabk wa barca wengi ni wa mwaka 2012