FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwani moyo umekatazwa kupenda tena ?......Mpira huu siyo sheria ya Tanzania kwamba sitakiwi kuwa na uraia wa nchi mbili....

Hawa juzi di maria alimsaliti messi akajidai kapata ajali adi chile akafungwa alafu hao wawili ni team mesi ndo maana wana hasira na man u hahahaaaaaaaaaa
Di maria alijua ata akifunga history itabaki kwa mesi.
#qeenmessi
 
Hahaha!!! Dogo una maneno weye!! Di Maria akajionea itakuwa tabu ngoja ajilengeshe hahahahaha.....Chile ndo alifunga mumy rekebisha hapo....halafu siku hiyo nilivyokuwa namtetea Messi acha kabisa !!!
 
Hahaha!!! Dogo una maombi weye!! Di Maria akajionea itakuwa tabu ngoja ajilengeshe hahahahaha.....Chile ndo alifunga mumy rekebisha hapo....halafu siku hiyo nilivyokuwa namtetea Messi acha kabisa !!!

Di maria alisema hafanyi upuuzi maana mechi ya mwisho kabla ya fainal alifunga tatu lakini hawakumng'arisha historia ilibaki kwa mesi kuwa ndo alitoa pasi.
Can you imagine wew ndo umefunga lakini husifiwi anasifiwa aliyekupa pasi? Je ungeicheua iyo pasi?
Sasa di maria akasema ngoja aone na lawama baada ya kufungwa zingebaki kwa nani....
Chile walimfunga queen mesi.
Hatareeeeee
 
Hawa juzi di maria alimsaliti messi akajidai kapata ajali adi chile akafungwa alafu hao wawili ni team mesi ndo maana wana hasira na man u hahahaaaaaaaaaa
Di maria alijua ata akifunga history itabaki kwa mesi.
#qeenmessi
yule di maria anautapiamlo ndio mana kila.mara injury
 
Hahaha!!! Dogo una maombi weye!! Di Maria akajionea itakuwa tabu ngoja ajilengeshe hahahahaha.....Chile ndo alifunga mumy rekebisha hapo....halafu siku hiyo nilivyokuwa namtetea Messi acha kabisa !!!
ndio jiangalie jinsi gani ulivyokuwa msaliti unachat na mtu anayemuita messi queen
 
Di maria alisema hafanyi upuuzi maana mechi ya mwisho kabla ya fainal alifunga tatu lakini hawakumng'arisha historia ilibaki kwa mesi kuwa ndo alitoa pasi.
Can you imagine wew ndo umefunga lakini husifiwi anasifiwa aliyekupa pasi? Je ungeicheua iyo pasi?
Sasa di maria akasema ngoja aone na lawama baada ya kufungwa zingebaki kwa nani....
Chile walimfunga queen mesi.
Hatareeeeee
hv ni.mpira upi unaouangalia ni lini di maria kafunga tatu copa america
 
Nani hajui mpira? Utachekwa wewe........
atoto kitu mlichokifanya kwa dogo langu cute b siyo kizuri nimewaheshimu na ninawasamehe kwa sababu hapa pia nimewekezamo,kamchepuko kangu Barca nakapenda penda ila kina PNC watanifanya nikapige chini wanachonga sana, kalikuwa kamefika viwango vya juu kabisa......lol
cute b alinijia na mbwembwe za kunidolishia chupi mpya nikamtoa baru, hivi na wewe upo kule kwa mashetani wekundu? Pole sana mama.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha!!! Kipya kinyemi siyo....... Huyu atoto mwenyewe kama nanga inapaa saa yoyote atawasaliti,Barca nampenda siku zote ataendelea kuwa mbadala wa Man U.

Hahahaaaaa! We everlenk hebu usinisingizie, mie barca ndio nimefika atii!
 
Last edited by a moderator:
Na tarehe 25.7 wapenzi Wangu wote wanakutana Duh!! Hapo patamu!! Japo kirafiki lakini itakuwa mechi tamu sana...

Hiyo siku kipenzi cha roho yako Barca anampakata live mchepuko wako manu, jiandae kumpiga kibuti mchepuko ubaki huku kwenye sherehe kila siku, achana na zile stress mpendwa.
 
Hiyo siku kipenzi cha roho yako Barca anampakata live mchepuko wako manu, jiandae kumpiga kibuti mchepuko ubaki huku kwenye sherehe kila siku, achana na zile stress mpendwa.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mpe huyooooooo
 
na kweli washakuachia jukwaa mama barcelona

Yaani barcelona naipenda we acha tu, nafurahigi sana kuwaangalia wakicheza haswaaaa wakishinda, hebu nikumbushe jina la kocha, teh teh
 
Back
Top Bottom