Yaani barcelona naipenda we acha tu, nafurahigi sana kuwaangalia wakicheza haswaaaa wakishinda, hebu nikumbushe jina la kocha, teh teh
Hiyo siku kipenzi cha roho yako Barca anampakata live mchepuko wako manu, jiandae kumpiga kibuti mchepuko ubaki huku kwenye sherehe kila siku, achana na zile stress mpendwa.
hata.mimi nawapenda saaaana na kocha wetu anaitwa luis enriqueYaani barcelona naipenda we acha tu, nafurahigi sana kuwaangalia wakicheza haswaaaa wakishinda, hebu nikumbushe jina la kocha, teh teh
Weeeee si hivyo ni hivi.....Barca is my heart, MANU is my Spirit..
Heheeeeeeee!!! Haya naona mwali umepokelewa kwa nguvu zote wamesahau hata kukupa taratibu za nyumba yao....mimi hawa walikuwa wanapigana vikumbo...
Weeeee si hivyo ni hivi.....Barca is my heart, MANU is my Spirit..
hata.mimi nawapenda saaaana na kocha wetu anaitwa luis enrique
hata.mimi nawapenda saaaana na kocha wetu anaitwa luis enrique
Wa Man U anaitwa Van Girl
Wa Man U anaitwa Van Girl
Oooh okey, nilikuwaga nampenda yule kocha handsome mwenye matege yule wa kabla ya Luis Enrique.
Ni rules gani aziongeleazo everlenk, anazodai sijaambiwa? Nisijekuwa nakwaza watu humu wakati all i need is fun.
lazma atajifunza tu japo.kwa sasa hatafuniVipi na huyu van girl anatafuna mirungi kama son wa faga??
ooooooh anaitwa pep guardiola kwa sasa hv yupo.bayern munich ya ujerumani
usimsikilize alimaanisha et hujui soka coz uliuliza kocha wetu anaitwa nani hvyo mzoee