FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

uhondo wa ngoma uingie ucheze, sasa nitaujuaje kama sio kuufuatilia km hivi?

tena mamaa ukiwa na swali lolote ruksa kuuliza wala usikonde hata mimi nisipokuwepo waweza muuliza Aleyn chebi n.k
 
Last edited by a moderator:
tena mamaa ukiwa na swali lolote ruksa kuuliza wala usikonde hata mimi nisipokuwepo waweza muuliza Aleyn chebi n.k

Okey, usisahau tu kunipa na ratiba za mechi, sitaki kuzimiss tena, ila utakomaje na maswali sasa, mwenzio kaka yangu tulikuwa tukiangalia wote kombe la dunia alikuwa akinifukuza eti namsumbua na maswali, mara anichimbe biti eti niangalie ila marufuku kuongea zaidi ya kushangilia tena timu anayoshabikia yeye!! Daah sasa siku naangalia naye mpira nafikiri ilikuwa inacheza barca na manu alafu yeye ni manu, hiyo siku nilicheka mpaka nikaumwa tumbo akanipiga marufuku kucheki nae mpira tenaaaa, unless nihamie manu.
 
Last edited by a moderator:

Siyo kukupa ratiba tu Bali akulipie na Dstv kabisaaaa!!!!
 
Wakuu wa jukwaa hili nakuombeni kuna mtu anaitwa gangchoba huyu jamaa akiongea nyinyi mnyamazieni tuu maana hana cha kuongea anaongea pumba tuu akizikumbuka zile goli nne alizopigwa pale camp nou kutolewa kwenye michuano ya uefa champions league na king leo messi hua hapati picha timu lake limefulia limepoteza muelekeo na chuki dhidi ya king hua hazimwishi kama vile mke alielowa mke mwenza sasa dawa ya ufuso wee tema mate tuu ni kunyamaza manaake naona toka chile achukue copa anaongea kupita kiasi kaishiwa na cha kuongea
 

Okey okey!! Hata aongee vipi haitoondoa uchungu wa zile bao 4 aisee, daah mie ningekuwa yeye ningejiban kwenye uzi huu nisingekanyaga tenaaaaa!!
 

Ahahahahahahahhahahahahahahhahahahaha na mimi apa nacheka mno, ilikuwa mwaka gani dear!?
 
Ahahahahahahahhahahahahahahhahahahaha na mimi apa nacheka mno, ilikuwa mwaka gani dear!?

Hiyo ya kombe la dunia ilikuwa 2006, ndio naanza kuangalia mpira maana nyumba nzima walikuwa wanaangalia, sasa mie hata faulo siijui ni nini mara naona mtu anataka kufunga mara refa anapuliza firimbi baasi naanza maswali na kulaumu, naelekezwa hata sielewi, na nilikuwa nashangilia kila goli haijalishi ni la timu gani, naambiwa chagua timu ndio ushabikie lasivyo unakwenda kulala!, basi ilikuwa timu inayoshinda ndio naishabikia, kesho ikifungwa nahamia nyingine iliyoshinda, nilikuwa namkera kaka anatamani anifinyangefinyange.
 


kwanza rekebisha jina langu kabla ya adhana ya Magharibi...la sivyo nakuburuza mahakamani.
 


halafu mkuu hapa hatuna uadui...haya ni malumbano tu ya Soka, na bila vijembe na kebehi kwa mpinzani wako basi Soka linakuwa halina ladha.

na ndio maana watu kama Gutierez, aleyn na PNC1 huwezi kukuta wanatoa agizo kama ulilotoa wewe mkuu, coZ wanaelewa utani wa mpira ulivyo.

lakini inaonesha wazi kuwa nimekukwaza na huelewi kuwa ya mipira yanaishia kwenye mipira...so naomba uniwie radhi na hutoona nikipost kitu kwenye jukwaa lako bosi.
 


everlenk anakujaga jukwaa la Juve na anacomment tu na mawazo yake yanaheshimika.
PNC1 na Aleyn na Gutierez hawaishi kugalagala jukwaa la Milan...lakini tunabishana na ukiona limekupalia basi unanyamaza kimyaa.

ila sawa ahksante
 
Arda Turan ( Midfielder) and Aleix Vidal (Winger) washasajiliwa... Looking forward for a sixtuple next season...
 
tatizo lako chomba una maneno ya dharau kupita kiasi juzi uliongea kitu ulisema sijui niende nikachambe ulijuaje kama mii nimekunya hapa tunaongelea sport utani usipitilize mpaka sisi tunaingia jikwaa lenu kule lakini hatuongei maneno yasiyo na maana wala hatumkwaruzi mtu wee una maneno ya kejeli ila kama nimekuchoma basi samahani isiwe tabu mkuu ila lugha mzuri ndio mwendelezo wa jukwaa letu na ukisema hucomment chochote hapo itakua umenuna na hapindezi mkuu comment zako ndio mwendelezo wa jukwaa letu dont mind hapa tunapoteza mda tuu hunijui sikujui peace n love
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha wewe uliza swali lolote utajibiwa wala huwez nikera
 

ha ha ha ha ha ha ha ha huyo.uzee unamsumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…