FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

My baby everlenk njoo huku kuna watu wanaleta dhereu kwa Zouma
Zouma mzee wa kutekeleza maagizo,hilo ndo bas packer la Mou....lol
ha ha ha ha ha ha ha ha everlenk na cute b wote wanamuogopa atoto MAMAA FC BARCELONA
Mhhh!!! Nimuogope huyu kwa lipi,nampenda ex mke mwenza,ila kuwa Tayari kujibu maswali wakat timu ikiwa uwanjani hivi hapa leo ROnaldo anacheza namba ngapi?Messi anaenda kupiga offside,ntu kafanyiwa faulo katikati ya uwanja utasikia Babby PNC hapa refa katunyima penati kabisaa, utasikia hivi Barca watacheza lini WC?....lol
atoto kitu gani weye.....hawa kina cute b Na everlenk majembe ya ukwe'he
JF nzima sportladies za ukweli+@Bantulady
Tooooba huyuhuyu everlenk au mwingine!!
Eli79 haujambo? Nakusalimia tu.

Acha fitina mtoto wa kike...loooh!!!! Ntakusuta na matarumbeta...
 
Last edited by a moderator:

Sasa mie ndio mpuliza matarumbeta mwenyewe sijui wakati unanisuta utasikia kweli maana nitalipuliza hatari, alafu uache majungu hayo maswali nilikuwa nayauliza enzi hizooooo now nimewiva hatari, usinchukulie poa, vipi maumivu yameisha? Naona umerudi kwa mbwembwe hatari!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahah huwa yanatulizwa tu,si unajua tena wanasema real love never die......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…