Mi the blues damu ata damu yangu Ni ya blues........
Acha ubishi basi!! We mwenyewe si unajua kwa barca unanyoosha mikono kusalimu amri!!
Mimi ni familia ya chelsea na Madrid!
hayawez muisha maumivu huyoSasa mie ndio mpuliza matarumbeta mwenyewe sijui wakati unanisuta utasikia kweli maana nitalipuliza hatari, alafu uache majungu hayo maswali nilikuwa nayauliza enzi hizooooo now nimewiva hatari, usinchukulie poa, vipi maumivu yameisha? Naona umerudi kwa mbwembwe hatari!!
Teh Teh...Yaani we mtani hakuna kitu tunachofanana hata kimoja, kila kitu tutofautiane tuuu!! Nitavunja utani sasa!
Happy Birthday Sergio Busquets i Burgos tarehe 16 Julai kwa kutimiza miaka 27 leo.
Ronaldhinho on Messi Breaking Pele's record
Reporter : Messi breaks Peles record is he better than Pele?
Ronaldinho : To be buetter than pele you have to win 3 world cups. Not to score against Zaragoza ; Getafe and Mallorca #Dinho
Leo Barca iko uwanjani kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya LA GALAXY ya America MECHI HIYO ITAPIGWA SAA 12 ASUBUHI HAPO KESHO atoto usikose hyo mechi japo wachezaji mahiri kutokea duniani hawatakuwepo nao ni MASCHERANO BRAVO ALVES NEYMAR NA KIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIING MESSSSI

asante sana PNC ila nataka nipewe mda wa wiki moja nimalizie majukumu then tutasababisha pamoja
asante sana PNC ila nataka nipewe mda wa wiki moja nimalizie majukumu then tutasababisha pamoja